Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: YANGA YAZIDI KUJICHIMBIA KILELENI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara na wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya kombe la shirikishoi barani Africa Yanga wame...
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara na wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya kombe la shirikishoi barani Africa Yanga wameendeleza wimbi Lao la ushindi katika mechi zao za viporo.

Yanga imeifunga  Mgambo shooting bao 2-1 katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam

Mgambo walikuwa wa kwanza kuifunga Yanga bao la mapema kabisa kabla ya Deus kaseke hajaisawazishia Yanga kufuatia uzembe wa safu ya ulinzi ya Mgambo mpaka mapumziko Yanga 1-1 Mgambo


Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku Yanga wakilishambulia goli la Mgambo Ni Deus kaseke tena aliwainua Yanga kwa kuwaandikia bao la pili na la ushindi


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top