Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: EUROPA LIVERPOOL HOI SEVILLA APATA SARE UGENINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mechi za hatua ya kwanza za nusu fainali za Uefa Europa League zimechezwa jana, mabingwa watetezi Sevilla wakicheza ugenini na Shakhtar D...
Mechi za hatua ya kwanza za nusu fainali za Uefa Europa League zimechezwa jana, mabingwa watetezi Sevilla wakicheza ugenini na Shakhtar Donetsk.

Matokeo ya mchezo huo ni kwamba Timu hizo zimetoka sare ya kufungana bao 2-2 ndani ya dakika 90 za mchezo.

Katika mchezo mwingine Klabu ya England Liverpool ikicheza Ugenini huko Uhispania imeambulia kichapo cha bao 1-0 mikononi mwa Villarreal kwa bao la Adrian Lopez la dakika ya 90 ya mchezo.

Timu zote nne zitarejeana tena Alhamisi wiki ijayo, ikiwa ni mechi za pili hatua ya nusu fainali.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top