Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: AZAM YAINYUKA YANGA NA KUBEBA NGAO YA JAMII
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Azam FC imefuta uteja kwa Yanga katika michezo ya kuwania Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Yanga kwa mikwaju ya penati 4 kwa 1, katika dimb...
Azam FC imefuta uteja kwa Yanga katika michezo ya kuwania Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Yanga kwa mikwaju ya penati 4 kwa 1, katika dimba la Taifa Dar es salaam, baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 2-2.

Mechi hiyo ambayo ni maalum kwa ajili ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, umezikutanisha timu hizo mbili kwa msimu wa 4 mfululizo ambapo Yanga imekuwa ikiinyanyasa Azam kwa kutwaa ngao hiyo katika miaka yote mitatu iliyopita.

Azam ilipiga penat nne na Yanga walipiga 3 na kupata moja na kufanya matokeo kuwa 4-1.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top