Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumatano Septemba 21, 2016 badala ya Septemba 17, mwaka huu.
Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, umesogezwa mbele kuipisha timu ya taifa ya Congo-Brazzaville ipate nafasi ya kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa, ikiwa ni kutekeleza matakwa ya kanuni za mchezo wa mpira wa miguu za kimataifa kwamba mwenyeji lazima aachie uwanja siku moja au saa 24 kabla ya mchezo wa ushindani.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Post a Comment