Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: CHICHARITO AFIKISHA GOLI 100
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mshambuliaji wa Zamani wa Man united mmexico Javier Hernandez Chicharito amefunga goli lake la mia moja kuanzia aanze cheza soka la kulipwa ...

Mshambuliaji wa Zamani wa Man united mmexico Javier Hernandez Chicharito amefunga goli lake la mia moja kuanzia aanze cheza soka la kulipwa ulaya.

Chicharito ambaye kwa sasa anaichezea bayer Luverkusen ya Ujerumani amefunga magoli 59 akiwa na Manchester united  pia amefunga magoli 9 akiwa na Real Madrid pia ameshafunga magoli 32 mpaka sasa kwa klabu yake ya sasa ya Bayer leverkusen.

Chicharito alikuwa kipenzi kikubwa sana kwa mashabiki wa Manchester united pia ata kule spain alipendwa sana kama ilivyokuwa kwa sasa Ujerumani kwenye klabu yake ya Luverkusen.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top