Msafara wa Young Africans kuelekea Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu jumatano dhidi ya Ndanda FC, utaondoka kesho alfajiri ukiwa na wachezaji 20 na jopo la ufundi chini ya Hans Van Pluijm lenye watu 7.
Wachezaji watakao ukosa mchezo huo wa pili wa Young Africans katika ligi ni;
1. Deogratius Munishi ( Msibani )
2. Geofrey Mwashuiya ( majerhi )
3. Pato Ngonyani ( majeruhi )
4. Malimi Busungu ( majeruhi )
5. Haruna Niyonzima ( timu ya taifa )
6. Vicenti Bossou ( timu ya taifa )
Wapenzi wa Yanga na wapenda mpira Mtwara wajitokeze kwa wingi kushuhudia mchezo huo.


Post a Comment