Kikosi cha mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara VPL Yanga wanaondoka kesho kuelekea mtwara kucheza na Ndanda Fc.
Wachezaji wa Young Africans watakao ondoka kuelekea Mtwara kwaajili ya mechi na Ndanda FC ni ;
Makipa
1. Ali Mustafa
2. Beno Kakolanya
Walinzi
3. Juma Abdul
4. Hassani Kessy
5. Haji Mwinyi
6. Oscar Joshua
7. Vicenti Andrew
8. Kelvin Yondani
9. Nadir Haroub
Viungo
10. Saimoni Msuva
11. Yusufu Mhilu
12. Mbuyu Twite
13. Deusi Kaseke
14. Juma Makapu
15. Thabani Kamusoko
16. Juma Mahadhi
Washambuliaji
17. Obrey Chirwa
18. Donald Ngoma
19. Mateo Antony
20. Amisi Tambwe
Hii ndio orodha ya wachezaji 20 walio andaliwa na mwalimu kuicheza mechi ya jumatano dhidi ya Ndanda .


Post a Comment