Hatimae nohodha wa zamani wa klabu ya liverpoo na timu ya taifa ya uingeleza, Steven Gerrard, Ametangaza rasmi kuachana na soka la ushindani na anarudi kwenye klabu yake ya zamani ya liverpool aliyodumu nayo kwa zaidi ya miaka 20, tangu alipoanza akiwa mdogo kabisa, na atapangiwa shughuli nyingine.
King Gerrard amecheza jumla mechi 748 na kufunga magoli 191 katika maisha yake ya soka
Ahsante kwa kila kitu nahodha wangu kipenzi.
Fantastic capiteno
Le grand capiteno
El capiteno della kops
Tutakukumbuka daima.
One of my favorite football players to have ever appeared in football world.
UBINGWA NA LIVERPOOL
League cup: 2000/ 2001..2002/2003.. 2011/2012.
F.A cup: 2000/2001..2005/2006
F.A community shield: 2001,2006.
UEFA champions league: 2004/ 2005.
UEFA cup: 2000/2001
UEFA super cup: 2001/2005
TUZO BINAFSI
PFA Young player of the year 1995, 1996
UEFA fair play Award 1997
Premier league player of the month Dec 1995, january 1996
PFA Team of the year 1996
FWA footballer of the year (1) 2009
PFA players player of the year (1) 2006
PFA young player of the year (1) 2001
PFA fans player of the year (2) 2001,2009
PFA team of the year (7) 2001,2004,2005,,2006,2007,2008,2009
EPL player of the month (5) mar 2001, mar 2003, Dec 2004, Apr 2006, Mar 2009
Standard chartered player of the month (1) mar 2012
Liverpool Top Goalscorer (3) 2004-05, 2005-06, 2008-09.
Ballon d'or Bronze Award (1) 2005
UEFA club footballer of the year (1) 2005.
UEFA champions league final man of the match(1) 2005.
UEFA Euro team of the tournament(1) 2012.
NB: ikumbukwe pia king gerrard ni mchezaji pekee dunian kufunga goli kwenye Fainali za
Uefa champions league fainal
Uefa cup fainal
League cup fainal
FA cup fainal
YOU WILL NEVER WALK OLONE KING GERRARD 8


Post a Comment