Mkwasa ataja kikosi kitakachocheza na Zimbabwe katika mechi ya kirafiki November 12 huko Harrare
Makipa;
Deogratius Munishi (Yanga), Aishi Manula (Azam) na Said Kipao (JKT Ruvu),
Mabeki;
Andrew Vincent (Yanga), David Mwantika (Azam), Haji Mwinyi (Yanga), Mohamed Husein (Simba, Michael Aidan ( JKT Ruvu ) na James Mwasote ( Prisons).
Viungo:
Himid Mao ( Azam), Mohamed Ibrahim, Shiza Kichuya, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Jamal Mnyate ( Simba), Simon Msuva, ( Yanga).
Washambuliaji:
Omar Mponda ( Ndanda), Thomas Ulimwengu (Huru ), Ibrahim Ajib ( Simba) ,John Bocco ( Azam) and Mbwana Samatta ( Genk )


Post a Comment