Baada ya kutoka sare na Africana lyon Mwalimu George aja kivingine leo hii.
Kamusoko aanzia benchi uku Emmanuel akianza kwenye kikosi cha kwanza dhidi ya Ndanda Fc.
Kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Ndanda fc kitakuwa hivi
1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Kelvin Yondani
5. Vicent Bossou
6. Saidi Juma
7. Saimoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Amisi Tambwe
10.Donald Ngoma
11. Emmanuel
Akiba
- Ali Mustafa
- Thaban Kamusoko
- Andrew Vicent
- Justin Zullu
- Obrey Chirwa
- Deus Kaseke
-Geofrey Mwashiuya
Post a Comment