Mabingwa wa tetezi wa kombe la Azam frderation Cup Yanga sc leo hii wanaingia uwanjani kulitetea kombe lao hilo dhidi ya Ashanti united timu toka ilala.
Kikosi cha mabingwa hao ni kama ifuatavyo.
1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Oscar Joshua
5. Vicent Andrew
6. Saidi Juma
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Juma Mahadhi
11. Deusi Kaseke
Akiba
- Ali Mustafa
- Pato Ngonyani
- Yusufu Mhilu
- Emanuel Martini
- Geofrey Mwashuiya
- Mateo Anthony
- Obrey Chirwa
Post a Comment