Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: BINGWA WA SPORTPESA SUPER LEAGUE KUCHEZA NA EVERTON FC UWANJA WA TAIFA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bingwa wa Michuano ya SportPesa Super Cup kucheza na Timu ya Everton ya England mwezi july Katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. A...


Bingwa wa Michuano ya SportPesa Super Cup kucheza na Timu ya Everton ya England mwezi july
Katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Awali ilipangwa mechi kati ya Yanga SC na Simba SC na mshindi kati yao ndio acheze na Everton wanakuja nchini katika maandalizi yao ya msimu wa 2017-18 ( EPL pre season).

Everton pia wanadhaminiwa na SportPesa na ndio wanawaleta nchini kwa mechi hiyo . Awali ilipangwa wacheze mechi mbili Afrika Mashariki yaani moja nchini Kenya kati ya mshindi wa mtanange wa Gor Mahia na FC Leopards na hapa Tanzania kati ya Simba na Yanga lakini ujio wa michuano mipya ya SportPesa Super Cup , utawafanya Everton kucheza mechi moja tu kwa bingwa wa michuano hiyo .

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top