Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: TAMBWE JUKWAANI YANGA IKIPAMBANA NA MBAO KIRUMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ikiwa ni hitimisho la ligi kuu Tanzania bara leo hii uku mabingwa watetezi Yanga SC wakiwa kanda ya ziwa kupambana na Mbao FC. Ikumbukwe ma...

Ikiwa ni hitimisho la ligi kuu Tanzania bara leo hii uku mabingwa watetezi Yanga SC wakiwa kanda ya ziwa kupambana na Mbao FC.

Ikumbukwe mara ya mwisho hawa kukutana ilikuwa nusu fainali ya kombe la FA kwenye uwanja huo huo wa Ccm Kirumba na Yanga kuangukia pua kwa kufungwa goli moja kwa bila na kuvuliwa rasmi ubingwa wa FA.

Leo sasa wanakutana tena uku Yanga SC wakiwa tayari ni mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara ila wakiwa na hasira kubwa sana na Mbao kwenye mchezo wa leo.

Katika kikosi cha Yanga kinacho anza dhidi ya Mbao kinakosa jina la Mshambuliaji Amissi Tambwe mwenye magili 12 ambae amepatwa na maleria gafla mara baada ya kutua jijini Mwanza jana jioni.

Kikosi kamili iki hapa.

1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Vincent Bossou
6. Thabani Kamusoko
8. Justine Zulu
9. Obrey Chirwa
10. Haruna Niyonzima
11. Geofrey Mwashuiya

Akiba
Deogratius Munishi, Hassani Kessy, Pato Ngonyani, Mateo Antony , Deusi Kaseke na Emanuel Martin.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top