Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: TUZO ZA LIGI KUU TANZANIA 2016/17.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu imekwenda kwa Mohammed HUSSEIN (Simba) akiwashinda, Aishi MANULA (Azam) na Saimon MSUVA (Yanga. Mchezaji Bor...

Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu imekwenda kwa Mohammed HUSSEIN (Simba) akiwashinda, Aishi MANULA (Azam) na Saimon MSUVA (Yanga. Mchezaji Bora anaondoka na kitita cha shilingi milioni 10.

Tuzo ya Goli Bora la Msimu inakwenda kwa Shiza Kichuya, bao alilofunga Feb. 25 katika mchezo wa marudiano dhidi ya Yanga. Kichuya, amewashinda Peter Mwarianzi na Zahoro Pazi

Tuzo ya Heshima inakwenda kwa Kitwana Manara mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars aliyewika miaka ya 1960 hadi 1970

Tuzo ya Ismail Khalfan (U-20) inakwenda kwa Shaaban IDD (Azam) akiwashinda Abdalah MASOUD (Azam) na Mosses KITAMBI (Simba)

Mchezaji Bora Chipukizi ni Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar), akiwashinda Shaaban IDD (Azam) Mohammed ISSA (Mtibwa)

Mchezaji Bora wa Kigeni ni Haruna NIYONZIMA (Yanga), akiwashinda Method MWANJALE (Simba) na Yusuph NDIKUMANA (Mbao FC)

Tuzo ya Kipa Bora imekwenda kwa Aishi MANULA (Azam) akiwashinda Owen CHAIMA (Mbeya City) na Juma KASEJA (Kagera Sugar)

Tuzo ya Kocha Bora imekwenda kwa Mecky MEXIME (Kagera Sugar) akiwashinda Joseph OMOG (Simba) na Ettiene NDAYIRAGIJE (Mbao FC)

Tuzo ya mwamuzi bora imekwenda kwa Elly SASII (DSM) miaka 29,  amewashinda Shomari LAWI (Kigoma) na Hance MABENA

Tuzo ya mfungaji bora imekwenda kwa Saimon Msuva (Yanga) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting), zawadi yao ni Tsh. mil 5.8

KIKOSI BORA (4:4:2): Manula (Azam), Kimenya (Prisons), Tshabalala (Simba), Yakub (Azam), Mwanjale (Simba), Kenny Ally (Mbeya City), Msuva (Yanga), Niyonzima (Yanga), Abdulrahman (Ruvu Shooting), Mbaraka (Kagera Sugar), Kichuya (Simba)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top