MUFC ManUtd imemwachia mchezaji wao
# ZLATAN na imekuwa official tayari klabu ya
manutd imefanya hivyo kwakuwa wasingeweza
kumpa mkataba mpya IBRA kwakuwa
anategemewa kurudi uwanjani mwezi wa
kwanza mwakani lakini klabu hiyo imempa ofa
zlatan kuendelea na matibabu pale carrington
na inaweza kumpa mkataba mpya maana ya
kumsajili tena dirisha dogo mwakani kama
atapona vizuri kwa kipindi hicho.Klabu ya
Manutd imefikia uamuzi huo kwakuwa
wasingeweza kumlipa zlatan kwa kipindi hicho
akiwa nje isitoshe yeye KING ZLATAN anapokea
mshahara mkubwa kwa wiki ili kupunguza
gharama kuwa kubwa upande wa klabu na
zlatan umeamua hivyo. Kula shampeni nyuma
ya pazia ZLATAN naimani utarudi tena january
wakati tunaenda kuchukua ligi
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Post a Comment