Ni Djigui Omary Kamala Diarra Mzaliwa wa Bamako_Mali katika nchi inayoongozwa na President Kanali Assimi Goita ,Mnamo 27 February 1995 (26) akiwa ni Mtoto wa Pili katika Familia ya Mzee Omary Kamala.
GoalKeeper huyu wa Timu ya Taifa ya Mali na Klabu ya Young Africans akitokea katika kabila la 𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔𝗟𝗔 Nchini Mali akiwa na Umri wa Miaka 10 Diarra alipenda kutembea Mtaani na kushiriki katika kucheza Mziki wa Dancer,baada ya Baba yake kutopendezwa na alichokuwa anakifanya Diarra akamtaka Kijana aiingie kwenye SOKA.
2007 Akiwa na Miaka 12 Mzee Omary Kamala Marehemu alimchukua mwanaye na kumpeleka kwenye Academy ya 𝗦𝗧𝗔𝗗𝗘 𝗠𝗔𝗟𝗔𝗜𝗡𝗘 Klabu iliyoanzishwa Mnamo Mwaka 1960,Djigui Diarra akicheza Nafasi ya Kiungo_Mshambuliaji , 2011 Screen Protector alisajiliwa rasmi ndani ya Stade Malien Football Club 𝗦𝗘𝗡𝗜𝗢𝗥 𝗧𝗘𝗔𝗠,licha ya kucheza zaidi ya Miaka 10 ndani ya Klabu hiyo ya Mali,Diarra hakuwahi kucheza nafasi ya Kipa kama ilivyo sasa_hivi.
2012 @djiguidiarraofficial aliitwa Timu ya Taifa ya MALI U17 na hapa alihama nafasi ya Kiungo Mshambuliaji na kuanza kukaa kwenye Milingoti mitatu na kufanikiwa kucheza Timu zote za Vijana za Mali U17-19-20&23 na saaa Senior Team,Usajili Bora ndani ya Yanga SC Msimu 2021-2022 Golikipa aliyeingia kwenye Kikosi Bora cha CAF 2015 Na Mchezaji Bora wa Malian Premiere Division 2014-2015.
𝗔𝗦𝗔𝗡𝗧𝗘 𝗦𝗔𝗡𝗔 @caamil_88 kwa usajili huu kwani ni moja ya sajili bora sana ndani ya ligi yetu ya Tanzania bara.
NB
Kila siku utapata Dawa kudogo mpaka siku ya tarehe 11.
Post a Comment