Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: HONGERA SANA GSM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama kuna kampuni ya wazawa iliyokuja kuleta utofauti katika soka letu basi ni GSM Tanzania,,Kwanza Kwa wiki nzima hii ndiyo kampuni ambayo...


Kama kuna kampuni ya wazawa iliyokuja kuleta utofauti katika soka letu basi ni GSM Tanzania,,Kwanza Kwa wiki nzima hii ndiyo kampuni ambayo ukifanya analytical katika mitandao ya kijamii ,Radioni,na kwenye matv imezungumzwa sana,Kwahiyo wamepata market visibility kubwa ..

GSM alivyo ingia Yanga walianza project yao Taratibu Kwa kuwa wanatoa motisha ya fedha Kwa kila mechi kipindi hicho Yanga wikuwa wanahari mbaya mno kifedha ,Msimu uliofuata wakashiriki Kwa asilimia kadhaa kusajili baadhi ya wachezaji na msimu huu wamekuja mazima kabisa ndani ya Yanga..

Kimsingi GSM kajitahidi kuziba kabisa nakisi ya kifedha iliyokuja baina ya Simba na Yanga,Simba walikuwa wakinufaika zaidi kifedha kitu ambacho kiliwafanya kufanya vizuri katika Usajili na hata kuzicheza mechi zao nje ya Uwanja,GSM ameclosed kabisa Hilo Gap Kwa sasa kiasi kwamb a amefanya mpaka dharau Kwa kuwa Mdhamini mwenza wa Ligi kuu Kwa mantiki hiyo GSM anataka kutamkwa zaidi kupitia Ligi kuu pia kubebwa na vilabu vingine ikiwemo Simba,
Ndugu Mohamed Dewji anaona dharau sasa hii yaani GSM aje avaliwe na Simba Daaaah...!!! Huku yeye anapiga biti kupitia wapiga zumari wake kama Bavrbavr kuwa haiwezekani hii...Kwani I hao hao hawaesemi kuwa Mo anatoa milioni 395 tuu Kwa matangazo yote ambayo kaweka kwenye Jezi ya Simba ,,

Kifupi kelele zote hizi za Simba wanaon  Yanga Kwa sasa wanafedha wanaweza kufanya lolote kwenye Ligi kama ilivyokuwa zamani na wao walisha zoea kamserereko Kwahiyo wanaona mambo magumu ,Yanga walivumilia miaka 5 nyuma hivyo ni wakati wa Simba nao kuvumilia..yote Kwa yote HONGERA SANA GSM,nazani kwenye Usajili ujao fanya kusaidia timu zote kusajili wachezaji wazuri.

@abdulsportstz

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top