Kocha wa New York City inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani MLS Ronny Deila aliweka nadhiri kama klabu hiyo itachukuwa ubingwa basi atabeba kombe akiwa uchi.
Na hapo ni jana baada ya kutwaa ubingwa kwa mara ya kwanza ambapo waliwafunga Portland Penati 4-2 baada ya game kumalizika kwa sare ya 1-1.
Post a Comment