"Kama mtendaji mkuu niliwafafanunulia na haya yanayoendelea hayana afya , na bodi ya ligi ipo kwaajili ya klabu na kama kuna mmiliki wa chombo ana hoja basi anapatiwa ufafanuzi”
"Tumekuwa na mafunzo mengi ya kuelimishana namna bodi ya ligi inafanya kazi na klabu ”
"Ila bodi tumesikitishwa sana na bodi tulitumia haki ya msingi lakini kuona barua inatembea katika vyombo vya habari tumesikitishwa sana”
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Almasi Kasongo
Post a Comment