Hii inaonyesha kweli kuwa hii ni tabia yake na nadhani ni ngumu kuiacha kwani kila mmoja wetu anajua kuwa tabia ni kama ngozi uwezi iacha popote utakapo kuwa.
TFF tunawaamini tunaomba sheria zifuate mkondo wake pia jitaidini kumtafutia huyu mchezaji watu wa saikolojia maana ni ishara kubwa kwamba huyu Juma akukulia katika maadili sahihi kabisa na kwa kuonyesha haya yote tunaomba sana tena sana adhabu iwe kubwa na kali kwake ili iwe fundisho kwa wale wote wenye tabia kama hii na zile zote ambazo sio sahihi kiimadili yetu ya kiafrika pamoja na soka kwa ujumla.




Post a Comment