Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: MAPATO MECHI YA WATANI WA JADI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pambano la mtani wa jadi kati ya Simba SC na Yanga SC lililopigwa juzi na kuhudhuria na watazamaji pomoni, limeingiza jumla ya Tsh 436,06...
Pambano la mtani wa jadi kati ya Simba SC na Yanga SC lililopigwa juzi na kuhudhuria na watazamaji pomoni, limeingiza jumla ya Tsh 436,069,000.00/=.
Mgao umekwenda hivi;

1. Gharama za uwanja 52,316, 400.00
2. Simba SC imepata 122, 071,600.00
3. Yanga SC imepata  87, 293,000.00
4. TFF 17, 438, 800.00
5. TPLB  31, 389, 840.00
6. Gharama za kuandaa mchezo  27, 902 , 080.00
7. FA ( R) 10, 463, 280.00

VAT ni asilimia 18 ya mapato ya jumla .
Gharama za kuandaa tiketi 10, 774,000.00
Cost of attachments ni 10,000,000.00
Sasa ukiipata asilimia 18 ya VAT ni  66,519,000.00.    
Mgawanyo umeanzia kwenye balance ya milioni 348, 776,000.00.
Simba SC imepata kiasi kikubwa kama timu mwenyeji.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top