Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: ELNENY ATUA RASMI ARSENAL
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Arsenal wanunua kiungo wa FC Basel Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba klabu hiyo imemnunua kiungo wa kati wa FC Basel Moh...

Arsenal wanunua kiungo wa FC Basel

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba klabu hiyo imemnunua kiungo wa kati wa FC Basel Mohamed Elneny.
Mchezaji huyo anaweza kuwachezea dhidi ya Stoke Jumapili.
Elneny, 23, anaripotiwa kuwagharimu Gunners £5m na anahitimu kuwachezea katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.
Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL
Akizungumza baada ya Arsenal kutoka sare ya 3-3 na Liverpool uwanjani Anfield, Wenger alisema: "Amejiunga nasi na tutamchunguza kuona iwapo anatosha kucheza Jumapili.”

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top