Atletico Madrid imefanikiwa kutinga fainali ya klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya pili ndani ya kipindi cha miaka mitatu baada ya kupata bao la ugenini walipokipiga dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani.
Nusu fainali ya pili La Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ilipigwa katika dimba La Allianz Arena jijini Munich Ujerumani
Matokeo ya jumla ya nusufainali hiyo yalimalizika sare 2-2 lakini Madrid wakasonga kwa kuwa na bao la ugenini.
Atletico Madrid wataisubiri timu itakayovuka leo katika mechi ya nusu fainali ya pili baina ya wenyeji Real Madrid na Manchester City
fainali Ligi ya mabingwa itapigwa mjini Milan tarehe 28 Mei.
ATLETICO YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Title: ATLETICO YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Atletico Madrid imefanikiwa kutinga fainali ya klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya pili ndani ya kipindi cha miaka mitatu baada ya kupat...







Post a Comment