Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: YANGA MWENDO MDUNDO YAUNYEMELEA UBINGWA VPL
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga imewafundisha soka wapiga debe wa shinyanga Stand united kwa kuwafunga bao 3-1 katika uwan...
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga imewafundisha soka wapiga debe wa shinyanga Stand united kwa kuwafunga bao 3-1 katika uwanja wa ccm kambarage shinyanga.

Donald Ngoma aliifungia Yanga magoli mawili katika kipindi cha kwanza  kabla ya mapumziko kufuatia juhudi zake binafs.

Amiss Tambwe aliongeza bao la 3 kwa Yanga kabla ya Elias Maguli hajaipatia Stand United bao la kufutia machozi kwa njia ya penati.

Kwa matokeo hayo sasa Yanga wanaendelea kuongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 68 katika msimamo wa ligi hiyo.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top