KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, jana jioni
imelazimishwa sare ya mabao 2-2 na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika katika Uwanja wa Azam Complex,
Chamazi, Dar es Salaam.
Matokeo hayo yamefifisha mbio za Azam FC za kuwania ubingwa wa ligi
kwani vinara Yanga wanahitaji ushindi wowote
Mabao ya Azam yaliwekwa wavuni na mapacha Michael Bolou
aliyefunga bao la kwanza dakika ya 31 na Kipre Tchetche dakika ya 37,
wote wakipokea pasi safi kutoka kwa Himid Mao ‘Ninja’, ambaye kipindi
hicho alicheza kama winga wa kulia.
Jkt ruvu walisawazisha magoli yao kupitia kwa Saady Kipanga na Najim Magulu Mpaka dakika 90 Azam 2- 2 Jkt
AZAM YAIFUNGULIA NJIA YANGA
Title: AZAM YAIFUNGULIA NJIA YANGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, jana jioni imelazimishwa sare ya mabao 2-2 na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vo...



Post a Comment