Yanga Sc imeanza vyema harakati za kutetea taji lake baada ya hii leo kuchomaka ni ya a ushindi mzito wa mabao 3 - 0 dhidi ya African Lyon katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Bao la kwanza la yanga limewekwa nyavuni na Deus Kaseke akipokea pasi ya Simon Msuva dakika ya 18 ya mchezo.
Mabao mengine ya Yanga yamepatikana kipindi cha pili ndani ya dakika ya 14 kupitika kwa Simon Msuva na sekunde kadhaa kabla ya mpira kumalizika kupitia kwa Juma Mahadhi ambaye aliingia kipindi cha pili kuchukuwa nafasi ya Msuva.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Post a Comment