Afcon ni michuono ambayo ujumuisha za afrika kama ilivyo ile michuano ya nchi za ulaya ijulikanayo kama Euro ambayo ilifanyika Ufaransa.
Hatua ya kukamilisha upatikanaji wa timu hizo zinazo kwenda kushindana kwenye michuano hii hapo january uko Gabon imemaluzika jana.
Michuano hii ya Afcon itakayo fanyika katika nchi ya Gabon mnamo mwezi Januari itachukua nafasi kubwa katika mwaka huo kutokana na timu kuwa nyingi kuwa na ubora wa wachezaji ambao wengi wao wanacheza katika ligi za ulaya,Katika upande wa Afrika Mashariki timu ambazo zilizofanikiwa kufuzu ni timu 3 tu.
Haya ni Mataifa 26 yaliyo weza kufuzu michuano ya Mataifa Afrika.
GROUP A
★Tunisia
★Togo
GROUP B
★Congo Drc
★Central African Republic
GROUP C
★Mali
★Benin
GROUP D
★Burkina Faso
★Uganda
GROUP E
★Guinea-Bissau
★Congo
GROUP F
★Morocco
★Cape Verde
GROUP G
★Egypt
★Nigeria
GROUP H
★Ghana
★Rwanda
GROUP I
★Gabon
★Ivory Coast
GROUP J
★Algeria
★Ethiopia
GROUP K
★Senegal
★Burundi
GROUP L
★Zimbabwe
★Guinea
GROUP M
★Cameroon
★Maritania
Michuano hii itaanza rasmi Januari 14 mpaka Februari 5 huko nchini Gabon.


Post a Comment