"Kiungo wa zamani wa FC Barca Xavi Hernandez amekiri kwa mara ya kwanza kuwa klabu ya Real Madrid ni ngumu kufungika kwa sasa.
Kiungo huyo ameimwagia sifa ambazo zimewastua watu wengi kwenye Duru za Soka ulimwenguni kwa kusema "Real huwa hawachoki kuamini, na ndio maana huwa wanapambana mpaka filimbi ya mwisho, hilo limewasaidia sana kupata matokeo katika mida ambayo wengi hukata tamaa"...alikaririwa XAVI
Aliendelea kusema "Historically, Real ni timu kubwa, na ni klabu ilioshinda kila kitu, hivyo huwa inapambana kupata ushindi kwa sababu ni timu kubwa, na siku zote inaiweka Barcelona katika hali ya tahadhari".


Post a Comment