Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: WAFAHAMU WACHEZAJI WATANO WANAOWEZA KUACHWA JANUARY
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tukikaribia muda wa dirisha dogo tunategemea kuona movement ya wachezaji wengi kwenda kwenye timu mbali mbali wakiziacha timu zao za sasa hi...

Tukikaribia muda wa dirisha dogo tunategemea kuona movement ya wachezaji wengi kwenda kwenye timu mbali mbali wakiziacha timu zao za sasa hivi. Tangu afike Manchester united Mourihno amekua akisajili wachezaji ana kujaza nafasi za wachezaji wengi kwenye namba kadhaa kufanya wachezaji hao wote wakubwa wakigombania namba moja.

Memphis Depay.

Pia hadi sasa bado kuna tetesi za kuleta wachezaji wapya ambao wanakuja kuongeza swala la kugombani namba. Hivi sasa Manchester united inategemewa kumkalibisha mchezaji Victor Lindelog kutkka Benfica.

Hawa ni wachezaji watano ambao huenda wasivae tena jezi ya Manchester united baada ya muda dirisha dogo kufika.

Marouane Fellaini.

Bila shaka huyu jamaa mwenye miaka 22 amepitia wakati mgumu kuonyesha uwezo wake ndani ya Old trafford tangu ahamie kutoka PSV. Depay amecheza dakika 22 tu tangu msimu huu wa uanze kwenye ligi. Hivi sasa anategemewa kujiunga na club ya Everton kwa mkopo ili akapate muda zaidi wa kucheza.

Bastian Schweinsteiger.

Fellaini hajawai kuwa kipenzi cha Old Trafford na umaarufu wake unatokana na mabaya ya kusababisha magoli zaidi ya kusababisha magoli ili timu yake ishinde. Aliwai kuzomewa na mashabiki lakini bado kocha Jose anaendelea kumpa namba japo kwa dakika chake. Sasa hivi ameamua kwenda zake Milan ambapo ameshaonekana maeneo hayo siku chache zilizopita.

Morgan Scheiderlin.

Huyu jamaa alitegemea maisha mazuri ndani ya Manchester united chini ya Van Gaal. Lakini baada ya kuja kocha mpya amekosa kabisa imani naye na bila shaka anatakiwa kutafuta njia nyingine. Anategemewa kwenda kwenye ligi ya marekani.

Anthony Martial.

Alivyotoka Southampton vitu vingi vilitegemewa lakini haukua hivyo. Imekua ni disappointment kubwa kwa central midfielder huyu. Anategmewa kwenda pamoja na Depay kwenye club ya Everton

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top