Uongozi wa Gsm kushirikiana na ZFA wapo katika mazungumzo yakudhamini Kombe la mapinduzi visiwani Zanzibar mwakani. Ikumbukwe Gsm msimu huu tayari wameshaidhamini ligi kuu visiwani humo.
Habari njema kutoka ZFA Tayari wameshatoa mwaliko kwa timu nne kutoka Tanzania bara ambao ni
-Yanga sc:Bingwa mtetezi 2021.
-Azam fc
-Simba sc
_Namungo fc
NB
Itakuwa je sasa na uku tutajitoa au?😆
Post a Comment