Wakala mkubwa wa Wachezaji Mino Raiola amethibitisha kuwa mteja wake Mathijs De Light yupo mbioni kuachana na klabu yake ya sasa Juventus na anamtafutia timu lakini sio za Iigi ya Uingereza.
Mino Raiola 🗣
“Matthijs De Ligt muda wowote anaweza kuondoka Juventus lakini sitamruhusu aende vilabu vyovyote vya nchini Uingereza”.
“Klabu za Barcelona,Real Madrid na Paris Saint German zinahitaji huduma yake na nipo kwenye mazungumzo nazo tuone De Light atajiunga na timu ipi”.
De Ligt akienda timu gani ataendelea kuwa bora?



Post a Comment