Image and video hosting by TinyPic Image and video hosting by TinyPic
 

Unknown Unknown Author
Title: KATIBA YA YANGA YAPITISHWA NA SERIKALI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 Offic ial ;  Katiba  mpya ya Yanga SC imepitishwa na SERIKALI ya Tanzania. - Sasa ni rasmi mchakato wa kuunda mfumo wa kampuni unaanza. - M...
 Offic
ial ; 


Katiba
 mpya ya Yanga SC imepitishwa na SERIKALI ya Tanzania.

- Sasa ni rasmi mchakato wa kuunda mfumo wa kampuni unaanza.

- Muundo wa klabu unapaswa kubadilika kutoka kuwa na mwenyekiti kuwa na RAIS.

- Kutoka umuliki wa klabu 100% kwa wanachama kuwa 49% WAWEKEZAJI na 51% WANACHAMA.

- Pia kutoka muundo wa awali wa utawala EXCOM na kuwa na BOARD, katibu mkuu kuwa CEO.

- Mchakato ulikuwa umesubiri ruksa ya Serikali, sasa ni rasmi mfumo imebadilika Young Africans sports club 🙌

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top